IQNA – Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu (WFPIST) imetayarisha bango la Siku ya Kimataifa ya Quds ya mwaka huu wa 1446 H sawa na 2025.
Habari ID: 3480437 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/25
TEHRAN (IQNA) –Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu Hujjatul Islam Hamid Shahriyari amesisitiza kuhusu Waislamu duniani kutumia uwezo wao mkubwa kukabiliana na maadui.
Habari ID: 3472304 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/26